Asante sana ndugu msomaji wa post zangu kwa kuendelea kuwa nami na kuniunga mkono.
Leo ningependa kukuletea ujumbe unaosema kuwa muziki ni sanaa kwanza unatakiwa kufahamu nini maana ya sanaa,
Sanaa ni uwezo wa kuwasilisha au kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa walengwa kwa njia ya sauti iliyoambatana na pambizo la sauti za ala za muziki. Nadhani kwa kifupi umepata mwanga.
No comments:
Post a Comment